
Mwabukusi: Nitatumia sheria kuwawajibisha watumishi serikalini
Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema atafuata taratibu na itifaki za nyadhifa za viongozi wa Serikali atakapoingia katika ofisi zao kuomba ushirikiano na ikishindikana atawalazimisha kushirikiana kupitia nguvu ya sheria. Kinachompa nguvu ya kufanya hivyo ni kile alichofafanua kuwa, watumishi wa umma wanawajibika kwa wananchi kwa mujibu wa…