MATUKIO; Rais Dkt. Samia Akizungumza na Washiriki wa Kikao Kazi Cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akizungumza na Washiriki wa Kikao Kazi Cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho ukumbi wa Mikutano AICC Arusha leo August 28,2024. Fuatilia mitandao yetu ya kijamii  Instagram: @mamakajatz Twitter @mamakajatz Facebook: Mamakajatz YouTube: Mama kaja…

Read More

Baleke, Boka wakoleza moto Yanga

YANGA kesho jioni itakuwa uwanjani kuvaana na Kagera Sugar, huku kocha wa kikosi hicho akichekelea kurejea uwanjani kwa mshambuliaji, Jean Baleke pamoja na beki Chadrack Boka walikosekana katika mechi nne zilizopita zikiwamo mbili za Ngao ya Jamii na za Ligi ya Mabingwa Afrika ikiing’oa Vital’O ya Burundi. Baleke alikosekana katika mechi nne wakati Boka alikosa…

Read More

Mtoto amponza mama yake mzazi, afungwa jela miezi sita

Mbulu. Mkazi wa Kijiji cha Moringe, Kata ya Daudi mkoani Manyara, Anna Burra amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Mbulu kutumikia kifungo cha miezi sita jela baada ya kushindwa kumfikisha mahakamani mshtakiwa Carol Christopher (18), anayekabiliwa na shtaka la kumlawiti mtoto mwenye wa miaka miwili na miezi tisa. Awali, Anna alikuwa amemdhamini Carol ambaye ni…

Read More

YANGA WATIA TIMU BUKOBA KUZISAKA ALAMA TATU.

Na Dulla Uwezo Kikosi cha Timu ya Yanga Africans Kimewasili salama Bukoba Mjini Tayari kuzitafuta alama Tatu Muhimu, katika Mchezo wao utakaopigwa Tarehe 29 Agosti katika Dimba la Kaitaba dhidi ya Wenyeji wao Kagera Sugar Wanankurukumbi. Kikosi Kimewasili majira ya Saa Sita Mchana na Ndege, Kisha Kuelekea mapumZiko mafupi Hotelini kabla ya Kufanya Mazoezi jioni…

Read More

Bangi gramu 4,095 yamtupa maisha jela

Arusha. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, hii ndio kauli unayoweza kuitumia kuelezea safari ya miaka 11 ya Mtanzania Nusura Mtinge kujinasua na kifungo cha maisha jela baada ya Mahakama ya Rufani Tanzania kubariki kifungo hicho. Licha ya kulikana jina lake, lakini mahakama hiyo iliyoketi Moshi imeona adhabu ya kifungo cha maisha alichohukumiwa kwa…

Read More

JKU yaanika kilichowakuta Misri | Mwanaspoti

BAADA ya juzi Jumanne kurejea Zanzibar wakitokea Misri walipokwenda kucheza mechi mbili za Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Pyramids, Kocha Mkuu wa JKU, Salum Haji maarufu Kocha Msomi amefichua mambo manne yaliyosababisha kufeli. JKU iliyokuwa ikiiwakilisha Zanzibar katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ilitolewa hatua ya awali baada ya kufungwa jumla…

Read More

Mahakama yaamuru Polisi kuchunguza walipo kina Soka

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa amri na maelekezo kwa wajibu maombi akiwamo Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) kufanya uchunguzi kuhusu mahali walipo viongozi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) na dereva wa pikipiki waliotoweka tangu Agosti 18, 2024. Viongozi hao, Mwenyekiti wa Bavicha…

Read More