
Benki ya DCB yaunga mkono jitihada za serikali ujenzi wa Reli ya SGR
Mkuu wa Mkoa wa Dar atoa pongezi Katika kuunga mkono juhudi zilizofanywa na serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR pamoja na kukuza utalii kupitia Royal Tour, Benki ya Biashara ya DCB imedhamini safari ya walimu zaidi ya 1000 kutumia treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi…