
Ubaya Ubwela ni fulu vaibu, Simba ikiikanda APR 2-0
SIMBA imekamilisha tamasha lake la Simba day la msimu wa 16 kibabe, ikifanya makubwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam huku ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya APR ya Rwanda. Mabao mawili ya Debora Mavambo na jingine la Edwin Balua yalitosha kuwapa mzuka wanasimba katika hitimisho la tamasha la 16 la Simba…