
Dosari ya kisheria yamnusuru kifungo cha maisha jela
Arusha. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya kifungo cha maisha jela aliyokumiwa mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, Matiku Thomas baada ya kutiwa hatiani kwa ulawiti. Hukumu imetolewa ikielezwa Mahakama ilikosea kumtia hatiani ilipobaini utofauti wa ushahidi na hati ya mashtaka aliyoshtakiwa mahakama ya awali. Matiku alidaiwa kumlawiti mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri…