
NMB yaahidi neema Wadau Sekta ya Kilimo ili kunyanyua uzalishaji
Ahadi hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya KilimoBiashara wa NMB, Nsolo Mlozi, alipozungumza katika banda la benki hiyo kwenye Maonesho ya 31 ya Kilimo ya Nane Nane, yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini hapa. NMB ni miongoni mwa wadhamini wenza wa Maonesho hayo ya Kitaifa na yale ya Kanda, yanayofanyika chini ya kaulimbiu isemayo:…