Manula apewa ‘Thank You’ | Mwanaspoti

ALIYEKUWA kipa namba moja wa Simba, Ashi Manula ametemwa kwenye kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao wa 2024/25 baada ya timu hiyo kutambulisha makipa wanne huku jina lake likiondolewa. Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally ndiye alikuwa anataja majina ya mastaa wa kikosi hicho msimu ujao katika tamasha la Simba Day linalofanyika Uwanja wa…

Read More

Rais Samia apata muarobaini migogoro ya Wakulima na Wafugaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana na migogoro kati yao na wakulima na watumiaji wengine wa ardhi kila uchao. Rais Samia amezindua kampeni hiyo…

Read More

Masauni ateua wajumbe wa bodi ya TPFCS

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amefanya uteuzi wa wajumbe tisa wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi (TPFCS). Waziri Masauni amefanya uteuzi huo kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 6 (2) (a-g) cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi…

Read More

Wastaafu wahimizwa kujikita kwenye kilimo

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mkurugenzi wa kampuni ya Namburi Agricultural Company, Dk. Mary Mgonja, amewataka wastaafu nchini kutumia muda wao kuingia kwenye kilimo ili kuendelea kufanya kazi na kujiimarisha kiafya na kiuchumi pia. Akizungumza na Mtanzania Digital leo, Agosti 2, 2024, katika maonesho ya Kitaifa ya Kilimo Nanenane yanayoendelea jijini Dodoma, Dk. Mary alisema…

Read More

RAIS DKT. SAMIA AMPA MAUA YAKE MHANDISI SEFF WA TARURA

  Berega, Kilosa Awataka wananchi kutunza mazingira ya mto Berega  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff kwa kazi nzuri wanayofanya Tanzania nzima. Rais Samia ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi wa Berega wilayani…

Read More