TAFIRI yaja na mfumo wa kidigitali kuunganisha sekta ya uvuvi

Na Esther Mnyika, Dodoma Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) imesema imekuja na mfumo wa kidigitali ambao utarahisisha uvuvi na utaunganisha wavuvi, wauzaji, wachuuzi na watumiaji wa bidhaa za samaki. Akizungumza na Mtanzania Digital leo Agosti 2, 2024 jijini Dodoma Afisa Utafiti TAFIRI, Spohia Shaban kwenye maonesho ya Wakulima nanenane kitaifa hufanyika jijini humo…

Read More

TTCL yaleta huduma za kidigitali kwa wakulima katika maonesho ya Nanenane

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limewasilisha huduma mbalimbali katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane mwaka huu, zilizolenga kuwasaidia wakulima hasa wale wanaolima kisasa kwa kutumia teknolojia. TTCL imepeleka huduma ya mawasiliano imara ambayo itawarahisishia wakulima kuwasiliana na kufuatilia masoko duniani kupitia huduma ya intaneti. Akizungumza na Mtanzania Digital leo,…

Read More

Simba Queens yaichapa Mlandizi 7-0

SIMBA Queens imeibuka na ushindi wa mabao 7-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandizi Queens uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye kilele cha Tamasha la Simba Day. Katika kikosi hicho cha Simba Queens, kulikuwa na nyota wapya wakiwemo viungo wa zamani wa Yanga Princess, Precious Christopher na Saiki Atinuke. Mchezo huo uliopigwa kuanzia saa…

Read More

RAIS SAMIA AMEWAJALI WANYONGE KWA KUWAPA MSAADA WA KISHERIA

Maofisa wa Msaada wa Kisheria wakisikiliza wananchi waliofika kwenye banda la maonesho la Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika viwanja vya nanenane Nzuguni jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imepiga kambi katika maonesho ya nanenane viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma huku wananchi wakimshukuru Rais Samia…

Read More

Hatua kwa hatua uchaguzi wa TLS

Dodoma. Safari ya kupatikana mshindi wa urais katika uchaguzi wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),  ilianza saa 12.30 asubuhi ya Agosti 2, 2024, pale wanachama walipoanza kupiga kura kuchagua viongozi watakaoongoza chama hicho kwa miaka mitatu. Mchuano mkali katika uchaguzi huo ulikuwa kati ya wagombea wawili kati ya sita wa nafasi ya urais ambao ni…

Read More

Utegemezi chuma cha nje kupungua 2027 Tanzania

Njombe. Tanzania inatarajia kuanza uzalishaji wa chuma ndani ya nchi katika miaka mitatu ijayo, baada ya kupatikana mwekezaji ambaye atatekeleza mradi huo katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe. Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) limeingia mkataba na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania Co. Ltd, kwa ajili ya uchimbaji wa madini ya chuma. Mkataba huo…

Read More

Mastaa Yanga wanogesha Simba Day

MASTAA wa zamani wa Yanga Princess, viungo Precious Christopher na Saiki Atinuke ni miongoni mwa wachezaji waliocheza kwenye mechi ya kirafiki kati ya Simba Queens na Mlandizi Queens. Mchezo huo umepigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 9 alasiri kwenye kilele cha kuadhimisha Simba Day. Wachezaji hao wawili wamesajiliwa na Simba…

Read More