
WAZIRI NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA 24 WA MAWAZIRI WA FEDHA AFRIKA WANACHAMA WA BENKI YA DUNIA NA IMF
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akifuatilia hotuba ya Makamu wa Rais wa Nigeria, Mhe Kashim Shettima (Hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa 24 wa Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi za Afrika ambazo ni Wanachama wa Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)…