Simba Day 2024, kibabe sana

SIMBA ilimaliza msimu uliopita ikiwa nafasi ya tatu kwa kuvuna pointi 69, sawa na Azam FC waliomaliza katika nafasi ya pili, lakini Azam waliongoza kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa. Kwahiyo ni wazi kwamba leo ndio siku ya mashabiki na wadau wa klabu hiyo kutembea kibabe sana kwenda kwenye mtoko matata kabisa wa…

Read More

Mahakama yazuia uchaguzi wa Chama cha soka Temeke

Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imezuia kufanyika kwa uchaguzi wa Chama cha Soka Wilaya ya Temeke (Tefa) uliokuwa umepangwa kufanyika kesho, Agosti 4, 2024. Amri ya kuzuia uchaguzi huo imetolewa jana Agosti 2, 2024 na Jaji Obadia Bwegoge, kufutia shauri la maombi ya zuio la muda baada ya kukubaliana na hoja zilizotolewa na…

Read More

Gwajima: Walezi wa kuaminika wapatiwe vitambulisho

  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Gwajima amemuagiza Kamishna wa Ustawi wa Jamii nchini Dk. Nandera Mhando kuhakikisha walezi wa kuaminika katika jamii wanaojulikana kama “Fit Persons” wanapata vitambulisho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ametoa maelekezo hayo jana tarehe 2 Agosti 2024, wakati wa ziara yake…

Read More

Serikali: Hakuna mgonjwa wa Mpox Tanzania

  Wizara ya Afya imesema kuwa mpaka sasa Tanzania ni salama na hakuna mgonjwa yoyote aliyepatikana na ugonjwa wa Mpox ambao awali ukijulikana kama homa ya nyani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ugonjwa huo ulioanza Mei 2022 hadi kufikia tarehe 31 Mei 2024, wagonjwa 97,745 na vifo 203 vimetolewa taarifa kutoka nchi…

Read More

Sh85 milioni kuboresha mazingira ya wavuvi Bagamoyo

Bagamoyo. Katika juhudi za kulinda mazingira ya bahari na mazalia ya samaki, vijiji vya Pande na Kaole vilivyo katika kata za Zinga na Dunda mkoani Pwani, vimetengewa zaidi ya Sh85.11 milioni ili kuvisaidia Vikundi vya usimamizi wa rasilimali (BMU) kufaidika na mazao ya bahari. Akizungumza jana Agosti 2, 2024 katika mkutano wa hadhara katika Kijiji…

Read More

Gridi ya taifa ina umeme wakutosha -Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mfumo wa gridi ya Taifa una umeme wa kutosheleza mahitaji ya kijamii na kiuchumi.   Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 02, 2024 wilayani Gairo Mkoa wa Morogoro akiwa katika ziara ya kikazi.   Ameeleza kuwa, Serikali inazidi kuimarisha hali ya upatikanaji…

Read More