
TASAC yapongezwa,usimamizi wa kanuni ya usalama wa mizigo na utendaji kazi wa bandari na bandari kavu
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imeipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa kusimamia kanuni za usalama wa mizigo na usalama wa utendaji kazi wa bandari na bandari kavu hapa nchini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria ndogo, Mhe. Dkt.Jason Rweikiza (Mb) leo tarehe 02…