CCM YAFURAHIA WAFANYAKAZI 350 WANAOENDELEA KUFANYA KAZI NA DP WORLD, HAKUNA ALIYEFUKUZWA

Na Said Mwishehe Michuzi TV CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama CPA Amoss Makala kimepongeza uwekezaji mkubwa uliofanyywa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam sambamba na uwekezaji  wa DP World ambao umewezesha kumalizwa kwa msongamano wa kontena bandarini. Akizungumza leo Agosti 28,2024 alipofanya ziara ya kutembelea Bandari…

Read More

Kilichompa ushindi Dk Ndugulile WHO hiki hapa, azungumza

Dar es Salaam. Maswali ya papo kwa papo yaliyojibiwa kwa ufasaha, ni miongoni mwa mambo yaliyompa ushindi mteule wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile. Dk Faustine Ndugulile anachukua nafasi ya Dk Matshidiso Moeti aliyehudumu kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Nchi wanachama wa…

Read More

MCHUNGAJI MSIGWA AIVUA NGUO CHADEMA, AMPIGA KIJEMBE MBOWE

ALIYEKUWA Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA kwa kipindi Cha miaka 10 Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea ‘kukivua nguo’ chama chake Cha zamani kwa kuanika madudu yao hadharani. Mchungaji Peter Msigwa ambaye yuko katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi…

Read More

Fei Toto aitingisha Azam FC, ishu nzima ipo hivi!

AZAM FC jana ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025 dhidi ya JKT Tanzania, lakini kabla ya mechi hiyo iliyopigwa jijini Dar es Salaam, mabosi wa timu hiyo wameshtushwa na kiungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuzuia kwa muda mazungumzo ya mkataba mpya. Fei Toto alisaini mkataba wa miaka…

Read More