
PROF. SHEMDOE AHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KWENYE MIFUGO NA UVUVI
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe (wa kwanza kushoto), akionyeshwa Samaki aina ya Bunju baada ya kuelezewa sifa zake na Afisa Masoko wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania, Bi. Halima Tosiri (wa kwanza kulia), mara baada ya kutembelea mabanda ya wadau mbalimbali na Taasisi/Idara/Vitengo vilivyopo chini ya Wizara ya…