Wananchi Morogoro: Hatuna deni na Rais Samia

  BAADHI ya wananchi wa Mkoa wa Morogoro, wamesema hawana deni na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa ahadi nyingi alizotoa amezitekeleza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Maelezo hayo ya wananchi yametolewa leo tarehe 2 Agosti 2024 na wananchi hao baada ya kusikiliza hotuba iliyotolewa na Rais Samia, Dumila wilayani Gairo, Morogoro. Pia, wamesema…

Read More

NBC yaahidi kunogesha ushindani zaidi Ligi Kuu Bara

  Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC, Benki ya NBC jana Alhamisi ilishiriki kikamilifu kwenye tukio la utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, TFF 2023/2024 huku ikiahidi kuendelea kushirikiana na wadau wote wa ligi  tatu inazozidhamini ikiwemo Ligi Kuu ya NBC, NBC Championship na Ligi ya Vijana ya NBC ili…

Read More

Kamati ya Bunge yazungumzia utendaji wa bandari

Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imesema kanuni ya mwaka 2023 ya ulinzi wa mizigo na usalama wa utendaji kazi katika bandari zimekuwa msaada mkubwa katika kuboresha utendaji na kukuza pato la taifa. Kwa mujibu wa kamati hiyo, kanuni hizo zilitungwa kulinda usalama wa watu na mizigo, kulinda mali, kuzuia…

Read More

Mpango wa UNRWA unalenga kuwarejesha watoto 'kujifunza' – Masuala ya Ulimwenguni

“Hatua hii ya kwanza katika barabara ndefu zaidi inazingatia shughuli ambazo zitawapa watoto kimbilio kutoka kwa maovu wanayoendelea kuishi,” Kamishna Jenerali Philippe Lazzarini. sema katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X, zamani Twitter. Aliongeza kuwa watoto huko Gaza “wanapitia ukatili usioelezeka. Wanaishi katika kiwewe na mshtuko kwa sababu ya siku 300 za vita, kuhama,…

Read More

Marekani yatoa onyo vitisho kuishambulia Israel

Dar es Salaam. Baada ya Iran na washirika wake kutangaza kuishambulia Israel, hatimaye Marekani imeibuka na kuikingia kifua Israel. Rais wa Marekani, Joe Biden akizungumza kutoka Ikulu ya White House, amethibitisha kujitolea kwa usalama wa Israeli dhidi ya vitisho vyote kutoka kwa Iran, ikiwa ni pamoja na makundi ya Hamas, Hezbollah, na Huthis. Rais Biden…

Read More

Samia ampigia chapuo Profesa Kabudi kiaina

Dar/Moro. Rais Samia Suluhu Hassan ni kama amempigia chapuo Mbunge wa Kilosa (CCM), Profesa Palagamba Kabudi, achaguliwe tena na wananchi wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Hiyo imetokana na kauli yake mbele ya wananchi wa Kilosa aliyoitoa leo Agosti 2, 2024 akisema:“Endeleeni kuniletea Kabudi.” Kauli inayofanana na hiyo aliitoa pia alipokuwa Dumila mkoani…

Read More

Ahadi ya TRA kwa mawakala wa forodha

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amewataka mawakala wa forodha nchini kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa huku akiwaahidi mazingira bora ya kazi. Ameyasema hayo jana Agosti 1, 2024, alipokutana na wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha (TAFFA) kwa lengo la kusikiliza changamoto zao, kujadiliana…

Read More

MWONGOZO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI WA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAIVA

  Na John Bera – DODOMA   WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini  imeanza kuandaa Mwongozo  wa Ufuatiliaji  na Tathmini wa Wizara  utakaotumiwa kwa ajili ya shughuli za Ufuatiliaji na Tathmini ya Sera, Mipango , Programu na Miradi inayotekelezwa na Idara, Vitengo na Taasisi za Wizara.   Akizungumza kwenye ufunguzi…

Read More