
VITUO 43 VYA TOHzARA RUVUMA KUPEWA VISHIKWAMBI
Na Albano Midelo Vituo 43 vinavyotoa huduma za tohara katika Mkoa wa Ruvuma vitakabidhiwa vishikwambi 84 vyenye thamani ya shilingi milioni 39 vilivyotolewa na Taasisi ya HJF Medical Research International. Vishikwambi hivyo vimekabidhiwa na Mwakilishi wa Taasisi hiyo, Dr. Joshua Mwakanyamale, kwa Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Dr. Louis Chomboko, katika hafla iliyofanyika…