UWT WATAKIWA KUMFIKIA KILA MTU, KUONGEZA ‘JESHI LA MAMA’

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Jumuiya ya CCM, kuendelea kuwa sauti ya wanawake nchini na kuwahamasisha kushiriki siasa, akiwataka wahakikishe wanawafikia watu wote, kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu. Katika kutimiza jukumu hilo, Balozi Nchimbi amewahimiza UWT kuendelea kuwatembelea…

Read More

Njia rahisi ya kuvuta wateja katika biashara

Kila mfanyabiashara lengo lake kuu ni kufanya mauzo makubwa na kutengeneza faida na baadaye kutanua wigo wa biashara yake, kinyume na hapo, mweleko wa biashara tunaweza kusema sio mzuri au hauna faida. Ndivyo ilivvyokuwa kwangu kipindi naanza biashara yangu ya kuuza Chips, nilianza na mtaji mzuri tu lakini kila siku ilizidi kupungua kwa sababu mauzo…

Read More

Serikali yaridhishwa na ziada ya chakula mikoa ya Nyanda za Juu

Mbeya/Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali imeridhishwa na ziada ya chakula tani 10.5 milioni za uzalishaji wa mazao ya kimkakati katika mikoa ya nyanda za juu kusini. Mbali na hayo, Dk Biteko ameziagiza wizara zote kushiriki kikamilifu katika maonesho ya wakulima ‘Nanenane’ yanayoendelea maeneo mbalimbali nchini. Dk Biteko…

Read More

Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh azikwa – DW – 02.08.2024

Shughuli ya kumsalia ilihudhuriwa na viongozi waandamizi wa Qatar na mataifa ya Kiarabu.  Jeneza la Ismail Haniyeh, lililokuwa limefunikwa bendera ya Palestina lilibebwa kwa uangalifu mkubwa wakati likiingizwa msikitini na wakati likiondolewa. Maelfu ya waombolezaji waolifurika ndani na nje ya msikiti huo mkubwa kabisa nchini Qatar wa Imam Mohammad Abdul Wahhab walishiriki shughuli hiyo kwa uvumilivu…

Read More

Simba Day 2024, wazee Simba wafunguka

SIMBA Day inayofanyika kesho itakuwa ni la 16, tangu tamasha hilo lianzishwe 2009, chini ya uongozi wa Hassan Dalali ‘Field Marshal’ na Mwina Kaduguda. Katika msimu mpya wa Simba Day yenye kauli mbiu ya Ubaya Ubwela, Mwanaspoti, limefanya mahojiano na wazee na viongozi wa zamani wa klabu hiyo akiwemo Dalali na kikubwa zaidi wameupongeza uongozi…

Read More

Wanaharakati Vijana wa Mazingira wa Kambodia Wanalipa Bei Nzito – Masuala ya Ulimwenguni

Credit: Tang Chhin Sothy/AFP kupitia Getty Images Maoni na Andrew Firmin (london) Alhamisi, Agosti 01, 2024 Inter Press Service LONDON, Agosti 01 (IPS) – Ni hatari kujaribu kulinda mazingira katika Kambodia yenye mamlaka. Vijana kumi wanaharakati kutoka kundi la mazingira la Mama Nature hivi karibuni wamepewa kifungo cha muda mrefu jela. Wawili walihukumiwa miaka minane…

Read More

Wakili afariki dunia Dodoma akihudhuria mkutano TLS

Dodoma. Wakili Maria Pengo (36) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Ijumaa jijini Dodoma alipokwenda kuhudhuria mkutano mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) unaoendelea. Taarifa zilizosambazwa kwa mawakili zinasema kuwa mwili wa wakili huyo utasafirishwa leo usiku kwenda nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa Hospitali ya Rufaa…

Read More