
Dawati la Elimu ya Usalama Barabarani yawafkia Waumini wa Ngarenaro.
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kupitia dawati la elimu ya usalama barabarani Mkoa wa Arusha limewaomba Waumini wa dini ya kiislamu kuendelea kutoa elimu katika familia zao juu ya matumizi sahihi ya Barabara huku akiwakumbusha malezi bora na uangalizi wa Watoto. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa dawati la elimu ya usalama barabarani Mkoa…