
TRC yaomba radhi treni ya SGR kupata hitilafu
Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba radhi abiria waliosafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam na treni ya kisasa (SGR) jana Alhamisi, Agosti 1, 2024 kutokana na hitilafu iliyojitokeza. Taarifa ya TRC iliyotolewa leo Ijumaa, Agosti 2, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa shirika hilo, Jamila Mbarouk imesema kutokana na…