
Kibu Denis amerudi kimya kimya
Mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis ameungana na nyota wa kikiosi cha Simba SC tayari kwa maandalizi ya msimu mpya huku uongozi wa timu hiyo ukiweka wazi kuwa adhabu yake ipo pale pale kwa sababu alikiuka utaratibu. Staa huyo hakuwa pamoja na timu Misri ilipoweka kambi ya kujiandaa na msimu wa 2024/25 alitimka nchini kwenda Norway…