
Kwanini usitishaji vita Kongo hauheshimiwi? – DW – 28.08.2024
Mapambano kati ya vikosi vya jeshi la serikali ya Kongo na kundi la waasi wa M23 yanaendelea mashariki mwa Kongo na yanasogea zaidi karibu na maeneo yenye msongamano wa watu kati ya Ziwa Edward na kaskazini mwa Ziwa Kivu, maeneo yalio karibu na mipaka ya Rwanda na Uganda. Mnamo Jumapili, Agosti 25, baadhi ya ripoti…