
Mbunge Mlimba ashauri kutolewa mikataba ya muda ajira za afya
Mbunge wa Jimbo la Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro Godwin Kunambi ameishauri serikali ya Wilaya hiyo kutoa ajira za mikataba ya muda Kwa wafanyakazi wa kada ya afya Ili kukabiliana na Changamoto hiyo. Mhe. Kunambi ameyasema hayo wakati wa mahafali ya Tano ya Chuo Cha Afya na sayansi Shirikishi Mlimba ambapo amesema njia pekee…