
Simba yamtambulisha SpiderMan | Mwanaspoti
KLABU ya Simba imemtambulisha kipa mpya, Moussa Camara ‘Spider’ kwa mkataba wa miaka miwili akitokea AC Horoya ya Guinea. Camara ni maarufu kwa jina la Spiderman, kwa umahiri wake wa kudaka mipira, ni raia wa Guinea mwenye umri wa miaka 25 amejiunga na klabu hiyo ya Msimbazi ili kuongeza nguvu katika eneo hilo baada ya…