Kagere apewa mwaka Namungo | Mwanaspoti

KLABU ya Namungo imemuongezea mkataba mpya wa mwaka mmoja mshambuliaji wa timu hiyo, Meddie Kagere ili kuichezea msimu ujao. Nyota huyo aliyecheza timu mbalimbali zikiwemo Gor Mahia na Simba, alijiunga na Namungo FC kwa mkopo akitokea Fountain Gate ingawa kwa sasa kikosi hicho cha ‘Wauaji wa Kusini’, kimefanikiwa kuipata saini yake ili kuendelea kusalia tena….

Read More

Tabora United yavuta winga Mkongo

TIMU ya Tabora United inaendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali ambapo sasa iko hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa winga Mkongomani, Heritier Kasongo Munani anayekipiga katika kikosi cha FC Lupopo. Kasongo yupo katika mazungumzo na Tabora United huku ikielezwa ni mbadala sahihi wa aliyekuwa winga wa timu hiyo Mganda, Ben…

Read More

MAREKANI YATAKA UCHUNGUZI WA UCHAGUZI VENEZUELA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Marekani imeelekeza juhudi zake katika kushinikiza mabadiliko ya kimfumo ndani ya Venezuela baada ya uchaguzi wa rais wa hivi karibuni kuibua sintofahamu. Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amesema kuwa kuna “ushahidi mkubwa” unaoonyesha kuwa mpinzani Edmundo González alishinda uchaguzi huo, akipingana na tangazo la ushindi la Rais Nicolás Maduro. “Kulingana na…

Read More