
Biden aahidi kuilinda Israel na vitisho vya Iran – DW – 02.08.2024
Biden amesema Marekani iko tayari kukabiliana na vitisho hasa kutoka makundi ya kigaidi ya Hamas, Hezbollah na Wahouthi ambayo yanafadhiliwa na Iran. Hayo yameelezwa na Ikulu ya White House baada ya kuuawa kwa kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Hanniyeh mjini Tehran pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hezbollah Fuad Shukr mjini Beirut. Makamu wa rais na…