
RAIS DK.MWINYI KUFUNGUA TAMASHA FAHARI YA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi anatarajia kufungua Tamasha la Fahari ya Zanzibar 2024 linalotarajia kufanyika Septemba 20 hadi 27 mwaka huu viwanja vya Nyamazi,Unguja. Huku nchi sita zinatarajia kushiriki tamasha hilo kwa lengo la kujadili masoko na uwekezaji ambapo kutakuwa na Kongamano maalum ndani ya…