Rais Dkt. Samia azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa SGR kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni Jijini Dar es Salaam

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Rasmi Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma, katika eneo la Stesheni Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Pugu Jijini Dare es Salaam wakati akielekea…

Read More

Tanzania yaipa homa Msumbiji kufuzu Kombe la Dunia kriketi

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Kocha wa timu ya kriketi ya Msumbiji, Filipe Cossa amesema  Tanzania ni ndiyo   timu  inayoweza kumzuia katika mashindano kriketi ya kufuzu kombe la dunia, daraja la pili (Divisheni II) kwa vijana wenye umri chini ya miaka 19. Michuano hiyo ambayo itashirikisha  jumla ya Mataifa nane, inatarajiwa kuanza kesho kwenye viwanja…

Read More

Polisi Nigeria wafyatua gesi ya machozi kutawanya maandamano – DW – 01.08.2024

Mamia ya waandamanaji vijana wamemiminika katika miji kadhaa ya taifa hilo, kupinga mageuzi ya serikali wanayodai kwamba yamezidisha hali ya maisha kuwa mbaya zaidi. Mamlaka za nchi hiyo zimesambaza maafisa wa usalama katika juhudi za kukabiliana na aina yoyote ya ghasia. Katika jiji la kibiashara la Lagos, waandamanaji walikusanyika kuelekea majengo ya serikali yaliyokuwa chini…

Read More

Wauza nyama wagoma, wananchi wahaha kusaka kitoweo Iringa

Iringa. Wafanyabiashara wa nyama katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa leo Alhamisi Agosti Mosi, 2024 wamegoma kufungua mabucha yao wakilalamikia kupanda kwa tozo na ushuru wa uchinjaji. Tozo hizo wanadai zinatozwa na Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na wamechukua hatua hiyo ili kuushinikiza uongozi upunguze gharama hizo walizodai zimepanda kutoka Sh4,000 mpaka Sh10,000. mmoja wa…

Read More