Wenye mabasi walia SGR kuwaathiri, Samia amtaja Abood

Dar es Salaam. Ingawa kuimarika kwa huduma za treni ya umeme nchini Tanzania ni furaha kwa abiria, kwa upande wa wamiliki wa mabasi ni maumivu, wakilalamika juu ya kudorora kwa biashara. Malalamiko ya wasafirishaji hao yanakuja katika kipindi ambacho, safari za treni ya umeme zinazidi kuimarika na leo Alhamisi, Agosti 1, 2024, Rais Samia Suluhu…

Read More

STANBIC YAZINDUA PROGRAMU MPYA YA MAFUNZO KWA WAHITIMU

*Yaahidi kukuza viongozi wa baadaye kupitia mpango huo wa mafunzo. *Programu imebadilika kuwa ya miezi 12 kwa mafunzo maalum. Asilimia 93 ya uhifadhi, kuimarisha uongozi wa kibenki na athari chanya kwa sekta za fedha. Dar es Salaam, Tanzania – Jumatano, 31 Julai 2024 – Benki ya Stanbic Tanzania imetangaza kuhitimu kwa kundi la vijana waliopata…

Read More

Straika Simba atoroka kambini | Mwanaspoti

WAKATI Simba Queens ikiwa kambini Bunju jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa wanawake inaotarajiwa kuanza katikati ya mwezi huu, straika wa timu hiyo, Aisha Mnunka hayuko na timu. Michuano ya CECAFA kwa msimu huu itafanyika Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Agosti 17 hadi…

Read More

Kuwa Sehemu ya Mabadiliko – Mbio za Baiskeli za Vodacom Twende Butiama 2024

Tanzania inapoelekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya Twende Butiama wametangaza kufunguliwa rasmi kwa usajili wa mbio za baiskeli za Twende Butiama Mwaka 2024. Mbio hizo, zitakazofanyika kuanzia Septemba 28 hadi Oktoba 14, zinaadhimisha urithi wa Baba wa Taifa kupitia uendeshaji baiskeli, shughuli za…

Read More

Bodi ya mikopo yaibua mapya, yawaonya wazazi

Dar es Salaam. Ikiwa zimesalia siku 30 kabla ya kufungwa kwa dirisha la uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania, makosa kadhaa yamebainika kufanywa na waombaji hali inayowaweka katika hatari ya kupoteza fursa hiyo. Dirisha hilo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lilifunguliwa Juni 1, 2024 likitarajiwa kutoa mikopo kwa wanafunzi 245,000 wakiwemo…

Read More

Namna ya kuwa salama dhidi ya utapeli, uhalifu mtandaoni

Teknolojia ya mtandao wa kidijitali ni miongoni mwa mambo ambayo yameshika kasi wakati huu, ikitajwa kuwa kiungo muhimu cha kuongeza tija katika shughuli mbalimbali za uzalishaji mali. Mtandao hivi sasa ni hitaji la muhimu la kila binadamu na unagusa kila sehemu, sifa yake kuwa ni kurahisisha na kuyafanya mambo kwenda haraka na wakati mwingine kwa…

Read More