Yanga hii… Tabu iko pale pale

YANGA imesharejea nchini kutoka Afrika Kusini ilipoenda kuweka kambi ya siku 10, ikicheza mechi  tatu za kimataifa za kurafiki, ikuiwamo kubeba ubingwa wa Kombe la Toyota, huku mastaa wapya wakimpa kiburi kocha Miguel Gamondi. Katika mechi hizo tatu dhidi ya FC Augsburg ya Ujerumani, TS Galaxy na Kazier Chiefs za Afrika Kusini, kocha Gamondi alionyesha…

Read More

Katibu wa Amcos jela miaka 15 kwa uhujumu uchumi

Simiyu.Mahakama ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemuhukumu kwenda jela miaka 15 Katibu wa Chama cha Ushirika cha Msingi (Amcos) Kijiji cha Kidema, Richard Nchemba baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili ya uhujumu uchumi. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti Mosi, 2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Enos Misana baada ya…

Read More

Baiskeli kuliamsha Twenda Butiama | Mwanaspoti

MSIMU mpya wa kampeni ya Twende Butiama, umezinduliwa jijini Dar es Salaam huku, ikielezwa kwamba msafara wa baiskeli wenye lengo la kumuenzi na kuonyesha historia ya Baba wa Taifa, Mwl JK Nyerere utaamsha kampeni hizo za kila mwaka. Kampeni hiyo inaendehswa na Kampuni ya Vodacom na msafara wa baiskeli utakuwa ni wa wiki mbili kuanzia…

Read More

POLISI WAONYA MATAPELI WANAOJIFANYA WATUMISHI WA UMMA ZANZIBAR – MWANAHARAKATI MZALENDO

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharib, Kamishna Msaidizi wa Polisi Abubakar H. Ally, ametoa onyo kuhusu matapeli wanaojifanya watumishi wa umma na kuwatapeli wananchi kwa ahadi za ajira za serikali. Akizungumza ofisini kwake Madema, Zanzibar, Kamanda Abubakar alieleza jinsi mtuhumiwa mmoja alivyokuwa akiwatapeli wananchi kwa kujifanya mtumishi wa umma na kuahidi kuwapatia ajira…

Read More

Siku 1,077 kesi ya mkurugenzi Temeke bila upelelezi kukamilika

Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke (DED), Lusubilo Mwakabibi na Mratibu wa Mradi wa Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam (DMDP), Edward Haule, bado haujakamilika. Mwakabibi na Haule, wanakabiliwa na mashtaka mawili ya matumizi mabaya ya madaraka wakiwa watumishi wa Serikali, katika kesi ya Uhujumu…

Read More

Washindi CRDB Marathon kuvuna mamilioni

WASHINDI wa Mbio za CRDB Bank Marathon 2024 zilizopangwa kufanyika Agosti 18 jijini Dar es Salaam, watazawadiwa jumla ya Sh 98.3 millioni. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CRDB, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa alisema wameamua kuweza zawadi nono kwa washindi kutokana na kutambua thamani ya washiriki na hadhi ya…

Read More

WANAFUNZI CHANGAMKIENI FURSA YA MIKOPO – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo Dk Bill Kiwia amewataka wanafunzi kujitokeza zaidi kuomba mkopo kabla dirisha halijafungwa huku zikiwa zimebaki siku 30 ambapo ni sawa na mwezi. Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanahabari Dkt.Bill amesema wanafunzi wanatakiwa kuchangamkia fursa hiyo huku wakitakiwa kufuata miongozo iliyowekwa na bodi katika kuomba mkopo Kwa mujibu wa bodi…

Read More

Dkt. Kiwia: Waombaji mkopo, wazazi wasome miongozo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewakumbusha wanafunzi wanaoomba mkopo wa elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kusoma miongozo na kuizingatia ili kuepuka kuwasilisha maombi yenye makosa. Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dkt. Bill Kiwia amesema hayo leo (Alhamisi, Agosti 1, 2024) kuwa tathmini ya siku 60 zilizopita inaonesha maombi…

Read More