
SERIKALI YATANGAZA MPANGO WA KUWEKA KAMERA ZA UCHUNGUZI 6,500 KATIKA MAJIJI MAKUU – MWANAHARAKATI MZALENDO
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, ametangaza mpango wa Serikali wa kuweka mitambo ya kamera za uchunguzi 6500 katika Majiji makuu manne kama hatua ya kwanza katika kupambana na uhalifu na kuboresha usalama wa wananchi. Sillo alitoa taarifa hii wakati wa ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Kagera, ambapo alikutana…