
Risasi yafunika Shinyanga | Mwanaspoti
RISASI imekuwa kinara kwenye msimamo wa mashindano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Mkoa wa Shinyanga ikizikimbiza timu nyingine kwa kuwa na pointi tisa. Ligi hiyo ambayo imeanza mzunguko wa pili, Risasi inafuatiwa na Kahama Sixers yenye pointi saba, huku B4 Mwadui ikiwa na sita na Veta tano. Kwa mujibu wa Kamishina wa ufundi…