
WATU 70 WAJERUHIWA AJALI YA TRENI KIGOMA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Watu 70 sabini wamejeruhiwa baada ya mabehewa sita ya treni ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuacha njia ikitokea Kigoma kuja Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk amesema katika taarifa kwa umma kuwa hakuna kifo katika ajali hiyo na majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya…