
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA MAAGIZO KWA MAWAZIRI WOTE – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo makali kwa Waziri wa Fedha na Mawaziri wote kuhakikisha kuwa fedha zinazoingizwa katika sekta zao zinatumika kuondosha kero za wananchi. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa treni ya Standard Gauge Railway (SGR) mjini Dodoma, Rais Samia alisisitiza umuhimu wa kutumia fedha za umma kwa manufaa ya wananchi. “Ni maagizo yangu…