
Wananchi Morogoro wapinguziwa mzigo vipimo vya CT-Scan
WANANCHI wa Mkoa wa Morogoro, wameondokana na mzigo wa gharama za kufuata vipimo vya CT-Scan mikoa ya jirani, baada ya Serikali kufikisha huduma hiyo katika hospitali ya mkoa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro … (endelea). Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa mionzi mkoani humo, Emmanuel Mkumbo, akielezea maboresho yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu…