RAIS MADURO AKATAA TUHUMA ZA UDANGANYIFU NA KUANZA HATUA DHIDI YA WAPINZANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Caracas, Venezuela – Rais Nicolás Maduro amekataa madai kwamba uchaguzi wa hivi karibuni nchini Venezuela haukuwa wa kidemokrasia, akisisitiza kuwa chama chake kiko tayari kuwasilisha majumuisho yote ya kura. Hii ni baada ya waangalizi wa uchaguzi kutoa taarifa kwamba matokeo hayawezi kuchukuliwa kama ya haki. Tamko la Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE) kwamba Maduro…

Read More

TUMEWAFIKIA KISIWA CHA CHOLE UMEME UNAKUJA

TANESCO inaendelea na utekelezaji wa mradi wa usambazaji umeme kwenye kisiwa cha chole kilichopo Wilayani Mafia Mkoani Pwani. Mradi huu unahusisha kuvusha umeme kupitia baharini kwa kutumia waya wa marine cable wenye urefu wa zaidi ya kilomita moja na nusu. Upatikanaji wa umeme wa uhakika ilikuwa ndoto ya siku nyingi kwa wakazi wa kisiwa cha…

Read More

MAJERAHA MAZITO YAIKUMBA UNITED – MWANAHARAKATI MZALENDO

Manchester United yaingia kwenye changamoto baada ya beki wao mpya, Leny Yoro, aliyenunuliwa kwa Pauni milioni 59 (takriban Tsh. bilioni 204), kupata jeraha litakalomuweka nje kwa miezi mitatu. Pamoja na hiyo, straika Rasmus Hojlund pia atalazimika kuwa nje kwa wiki sita kutokana na jeraha alilopata. Majeraha haya yalitokea katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal…

Read More

SIKUIPA KIBALI KITUO CHA MABASI JANGWANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka, aliyewahi kuwa Waziri wa Ardhi, ameweka wazi msimamo wake kuhusu ujenzi wa kituo cha mabasi katika bonde la maji Jangwani. Akizungumza na waandishi wa habari, Tibaijuka alisisitiza kuwa hakutoa kibali kwa mradi huo. “Nilipinga waziwazi na kusema hamuwezi kuweka kituo cha mabasi kwenye bonde la maji,” alisema Tibaijuka. Profesa Tibaijuka alifafanua…

Read More

Simba mpya ya rekodi 4 tamuu!

SIKU hazigandi. Kama utani umefikia muda wa Simba kuadhimisha siku yao. Ndio, Wazee wa Kimataifa, Simba wanajiandaa kuadhimisha siku maalumu kwa klabu hiyo maarufu kama Simba Day. Hii ni Simba ya rekodi. Msimu huu pati limerudi tena mwezi wa nane, lakini likifanyika Agosti 3. Tamasha hilo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa kikosi na…

Read More

Sasisho la Gaza, vurugu za uchaguzi wa Venezuela, kunyongwa nchini Sudan Kusini – Masuala ya Ulimwenguni

Waliorejea wameelekea katika maeneo kadhaa mjini humo, vikiwemo vitongoji vya kati na mashariki pamoja na eneo la karibu la Bani Suhaila. Uhamisho wa matibabu Kwa kando, Shirika la Afya Duniani (WHO) iliripoti kuwa wagonjwa 85 wagonjwa na waliojeruhiwa vibaya kutoka Gaza walikuwa kuhamishwa hadi Abu Dhabi katika Umoja wa Falme za Kiarabu siku ya Jumanne….

Read More

Ahmed Ally amaliza utata wa Dulla Makabila Simba Day

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amemaliza utata juu ya  msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila kuhusu kutumbuiza katika Tamasha la Simba Day, Jumamosi, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Ahmed Ally ameliambia Mwanaspoti, mashabiki wa Simba watulie kwani klabu hiyo haikumtangaza Dulla  atatumbuiza siku hiyo na hata akiwemo kwenye orodha…

Read More

FUAD SHUKR KUZIKWA ALHAMISI BAADA YA KUUAWA KATIKA SHAMBULIO LA ANGA LA ISRAEL – MWANAHARAKATI MZALENDO

Hezbollah imethibitisha kifo cha mmoja wa makamanda wake wakuu wa kijeshi, Fuad Shukr, aliyefariki katika shambulio la anga la Israel huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon. Mwili wa Shukr, aliyekuwa na umri wa miaka sitini, ulipatikana Jumatano jioni kwenye vifusi vya jengo lililoshambuliwa siku ya Jumanne. Shukr alikuwa mshauri mkuu wa kijeshi wa kiongozi wa…

Read More