
TUME YA RAIS YA KUTATHMINI NA KUSHAURI MASUALA YA KODI YAUNDWA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Uteuzi huu unafuatia tangazo lake la tarehe 29 Julai 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara…