Umaskini Ulimwenguni Unakua Kadiri Tajiri-Kubwa Wanavyozidi Kutajirika Haraka – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Jomo Kwame Sundaram, Siti Maisarah Zainurin (kuala lumpur, Malaysia) Jumatano, Agosti 28, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Agosti 28 (IPS) – Oxfam anatarajia trilionea wa kwanza duniani ndani ya muongo mmoja na umaskini utaisha katika miaka 229! Utajiri wa watu watano matajiri zaidi duniani umeongezeka zaidi ya mara mbili kutoka mwaka…

Read More

Mganga wa kienyeji atuhumiwa kwa mauaji ya watu 10

Dar es Salaam. Mapya yamebainika ikidaiwa mganga wa kienyeji aliyetuhumiwa kwa mauaji mkoani Singida ana mji mwingine wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma ambako yamebainika mashimo sita walimozikwa watu. Jeshi la Polisi limesema limebaini jumla ya miili ya watu 10 waliouawa, ikiwa ni mwendelezo wa uchunguzi na mahojiano yaliyofanywa dhidi ya watatu wanaotuhumiwa kwa mauaji ya…

Read More

Muke kuendesha mafunzo kikapu | Mwanaspoti

ZAIDI ya vijana 50 wa umri wa chini ya miaka 15 wanatarajia kushiriki katika programu ya mafunzo katika uwanja wa Donbosco Osterbay, Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameandaliwa na kocha Matabishi Bumba Muke kwa kushirikiana na kituo cha Donbosco, ambapo ameliambia Mwanasposti kuwa yatakuwa yakitolewa Jumamosi na Jumapili kituoni hapo. Akielezea zaidi, alisema wamepanga siku…

Read More

Huduma za matibabu Zanzibar ziboreshwe

Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) hivi karibuni imeeleza kwamba hospitali kubwa za mikoa na wilaya ziliojengwa karibuni Unguja na Pemba zitasimamiwa na sekta binafsi. Uamuzi huo, kwa mujibu wa Waziri wa Afya, Nassor Mazrui, unalenga kuzifanya hospitali hizi kuwa na huduma za kiwango cha kimataifa. Kwa mujibu wa waziri huyo, katika kipindi cha miaka…

Read More

Risasi yaivuruga Veta | Mwanaspoti

TIMU ya Risasi imeifunga Veta kwa pointi 50-49 katika Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Shinyanga iliyofanyika katika Uwanja Veta mjini humo. Kwa matokeo hayo, Risasi inashika nafasi ya pili kwa  pointi tisa, huku Kahama Sixers ikiongoza kwa pointi 10. Akizungumza na Mwanaspoti kwa simu kutoka Shinyanga, kamishina wa Ufundi na Mashindano wa mkoa huo,…

Read More

Johan Rupert wa Afrika Kusini ampiku Dangote orodha ya matajiri

Bilionea kutoka Afrika Kusini, Johann Rupert, amemshinda Aliko Dangote wa Nigeria katika orodha ya watu matajiri zaidi barani Afrika, kulingana na takwimu mpya kutoka kwa Bloomberg Billionaires Index. Rupert ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Richemont, moja ya makampuni makubwa ya bidhaa za kifahari duniani, likiwa na chapa maarufu kama Cartier na Montblanc. Thamani ya…

Read More