
Serikali kuongeza rada za utabiri wa hali ya hewa
Mwanza. Serikali inatarajia kuongeza rada mbili za utabiri wa hali ya hewa Juni, 2025 na kufanya kuwa na jumla ya rada saba zitakazosaidia wataalamu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), kutoa taarifa mapema zaidi za majanga yanayohusiana na hali ya hewa. Inakadiriwa kutokana na miundombinu na rada tano zilizopo mikoa ya Mwanza, Dar…