
Rais Samia na mzigo wa amani ukanda wa Sadc
Agosti 17, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc – Organ Troika) kwenye mkutano wa kawaida wa 44 wa Sadc uliofanyika Harare, Zimbabwe. Katika mkutano huo, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Sadc huku Rais…