Wasemavyo wadau uzalishaji umeme kwa njia mbadala

Dar es Salaam. Wakati lengo la Serikali likiwa kufikia uzalishaji wa megawati 1,100 za umeme kupitia njia mbadala mwaka 2025, wadau wametoa mapendekezo ya vitu vinavyoweza kufanywa na Serikali kukuza uzalishaji wa nishati hiyo kwa njia mbadala. Miongoni mwa mapendekezo ni kupunguza gharama za ununuzi wa vifaa tofauti na ‘paneli’ za sola, kutowaona wadau kama…

Read More

Dk Ndugulile wa Tanzania achaguliwa bosi mpya WHO Afrika

Dar es Salaam. Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndugulile ameshinda nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika. Katika kinyang’anyiro hicho wagombea wengine walikuwa pamoja na Dk Boureima Hama Sambo (Niger) Dk N’da Konan Michel Yao (Cote d’Ivoire) Dk Ibrahima Soc’e Fall (Senegal) na Dk Richard Mihigo (Rwanda). Dk Ndugulile…

Read More

Wakulima wa tumbaku wataka mabadiliko utaratibu wa malipo

Tabora. Wakati bodi ya tumbaku nchini ikiendelea kuhamasisha wakulima wapya kujiunga na ulimaji wa zao hilo, baadhi yao wamehoji upatikanaji wa haraka wa malipo wakidai kipindi cha nyuma ilimlazimu mkulima kusubiri hadi mwaka mmoja ndiyo apate malipo yake. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne Agosti 27, 2024, Vicent Maduhu mkazi wa kijiji cha Kamahalanga Nzega,…

Read More

KAMATI YA BAJETI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR YAIPONGEZA NSSF KWA MAFANIKIO KATIKA UTENDAJI

Na MWANDISHI WETU,Dar es Salaam. Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwanaasha Khamis Juma wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mafanikio makubwa uliyopata katika utekelezaji wa majukumu yake ya msingi ambayo ni kuandikisha wanachama, kukusanya michango, kuwekeza na kulipa mafao. Mhe. Mwanaasha ametoa pongezi…

Read More

Russia yalipiza kisasi kwa Ukraine

Wiki moja baada ya jeshi la Ukraine kuingia katika mipaka ya nchi ya Russia na kushambulia baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, kibao sasa kimegeuka. Taarifa zinasema kuwa Russia nayo imejibu mashambulizi kwa kuvurumisha makombora nchini Ukraine, ikitumia ndege zisizo na rubani zilizolenga makazi ya watu na kusababisha vifo vya raia takriban wanne na kuharibu…

Read More