
Makalla adai migogoro Chadema itaipa ushindi CCM, wenyewe wamjibu
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema mgawanyiko na migogoro inayoendelea kufukuta kwenye vyama vya upinzani ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni turufu ya chama hicho kupata ushindi wa heshima katika uchaguzi ujao. Amesema utabiri huo anaona utaanza kutimia kuanzia kwenye uchaguzi wa…