
Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini ya mikataba 5 ya ujenzi kampasi ya Tanga
Chuo Kikuu cha Mzumbe kimetia saini yamikataba mitano yenye thamani ya sh Bil 16.5 kwa ajili ya kuanza kwa ujenzi wa miundombinu ya majengo ya chuo hicho katika kampasi ya Tanga. Mikataba hiyo yenye thamani ya Billioni 16.5 imesainiwa leo Agosti 30.2024 Katika Kata ya Gombero Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga huku zoezi hilo…