Huko Gaza, amri za uhamishaji zinatishia kung'oa kituo cha msaada cha UN kwa mara nyingine tena – Masuala ya Ulimwenguni

Katika sasisho, OCHA msemaji Jens Laerke alikataa pendekezo lolote la kusitisha operesheni ya kuokoa maisha, licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na vita na mapigano yanayoendelea, yaliyosababishwa na mashambulizi ya kigaidi yanayoongozwa na Hamas nchini Israel tarehe 7 Oktoba. “Hakujawa na uamuzi wa kusitisha, haijawahi kuwa, tumekuwa huko kwa miezi 10, kwa hivyo (inaendelea) inapowezekana. Ninataka…

Read More

MIZANI 78 YAFUNGWA KUDHIBITI UZITO WA MAGARI

MKURUGENZI wa Idara ya Usalama na Mazingira Wizara ya Ujenzi Mhandisi Kashinde Musa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Agosti 27,2024 kuhusu ushiriki wao kwenye wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayofanyika kitaifa jijini Dodoma. Meneja wa Mazingira na Jamii Wakala wa Barabara nchini Tanroad, Zafarani Madayi,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushiriki…

Read More

TAFFA yampongeza rais Samia kuboresha huduma za upakiaji na upakuzi wa mizigo katika bandari ya Dar es Salaam

Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) kimepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan za kuboresha huduma za upakiaji na upakuzi wa mizigo katika bandari ya Dar es Salaam na kuwataka wanaobeza jitihada hizo kupuuzwa. Akiongea katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Rais wa Taffa Edward…

Read More

Sita kizimbani wakituhumiwa kumuua askari wa Tanapa

Geita. Watu sita wamepandishwa kizimbani  wakishitakiwa kwa kosa la mauaji ya aliyekuwa askari wa Hifadhi ya Taifa (Tanapa), Julius Katambi, aliyeuawa Oktoba 20, 2023 akiwa lindo kwenye hifadhi ya Kigosi wilayani Mbogwe mkoani Geita. Washitakiwa katika kesi hiyo, namba 21464/2024, ni Mpandasabi Lutoja, Richard Mhozya (45), Mpejiwa Sumuni (35), Antony Sumuni (40), Majaliwa Marko (33)…

Read More