
Wakazi wa Kigamboni kunufaika mradi kukabili mabadiliko ya tabianchi
Dar es Salaam. Wakazi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam wanatarajia kunufaika na mradi mpya wa kimataifa unaolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi huku ukitoa fursa za kiuchumi kwa jamii. Mradi huo, unaojulikana kama ‘Kukuza Maarifa kwa Manufaa ya Muda Mrefu na Ustahimilivu wa Tabianchi Kupitia Huduma za Tabianchi Holistiki na Suluhisho za…