Jake Sullivan akutana na Wang Yi mjini Beijing, China – DW – 27.08.2024

Walipokutana leo mjini Beijing, Sullivan na Wang Yi walisema kwamba wanatarajia kufanya mazungumzo yenye tija. Sullivan amesema anasubiria mikutano kati yake na Wang ambapo wataangazia masuala wanayokubaliana na pia ambayo bado kuna tofauti ambazo wanatakiwa kushughulikia kwa umakini na kwa ufanisi. Soma pia:China, Marekani kuzungumzia suala la Taiwan Muda mfupi kabla ya kuanza kwa mazungumzo hayo, Sullivan…

Read More

Adaiwa kumuua mama yake mzazi, kisa kugombania ardhi

Moshi. Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro,  linamshikilia  mkazi wa Kibosho Kirima, Wilaya ya Moshi, mkoani humo, Rose Apolinary Kimaro, (57) kwa tuhuma za mauaji ya mama yake mzazi, Anastazia Shiyo (87) huku chanzo kikitajwa kuwa ni mgogoro wa ardhi. Inadaiwa kuwa, baada ya kutekeleza mauaji hayo, aliandaa taratibu zote za maziko ikiwa ni pamoja…

Read More

Masauni, polisi wakaa kitimoto Dar

Moshi/Dar. Nini hasa kimewasukuma Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, wasaidizi wake wizarani na vigogo wa Jeshi Polisi kukaa kitimoto kipindi hiki? Hili ndio swali linaloibua mjadala nchini licha ya nia ya kikao hicho kuelezwa bayana, na mambo sita yametajwa kuwa huenda yamewasukuma kukaa na kukuna vichwa kuhusu mambo yanavyokwenda huku vidole vikinyooshwa upande…

Read More