
Mahakama kutoa uamuzi maombi ya viongozi wa Bavicha Temeke kesho
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imepanga kesho kutoa uamuzi kuhusu maombi ya dhamana au kufikishwa mahakamani viongozi wawili wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), wanaodaiwa kushikiliwa kizuizini. Viongozi hao, Mwenyekiti wa Bavicha Wilaya ya Temeke, Deusdedith Soka na Katibu wake, Jacob Mlay na dereva wa…