
Wanafunzi waliofariki dunia Wakiogelea, kuzikwa kesho
Rorya. Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya kilimo cha umwagiliaji katika kijiji cha Ochuna, Wilaya ya Rorya mkoani Mara wanatarajiwa kuzikwa kesho Agosti 28, 2024 katika eneo la pamoja. Watoto hao, wote wakiwa ni wa kike, wanafunzi wa Shule ya Msingi Ochuna,…