
Serikali yaondoa ucheleweshaji wa mafao kwa wastaafu
Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema changamoto ya ucheleweshaji wa mafao kwa wastaafu haipo tena baada ya utekelezaji wa sheria inayotaka malipo kufanyika ndani ya siku 60 tangu kustaafu kwa mtumishi. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Agosti 27, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi alipokuwa…