
Watatu wahukumiwa kunyongwa mpaka kufa kesi mauwaji ya Milembe Geita.
Washtakiwa watatu kati ya wanne waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya aliyekuwa Mfanyakazi wa Mgodi wa GGM Bi.Milembe Suleiman (43) Mkazi wa Geita wamekutwa na hatia kwa kutenda kosa la Mauwaji na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya mahakama kujiridhisha na ushahidi uliotolewa na upande wa Jamhuri . Akisoma Hukumu hiyo iliyoanza kusomwa Majira…