
Bwawa laporomoka Sudan na kusababisha vifo vya watu 30 – DW – 27.08.2024
Ukinukuu mamlaka za eneo hilo, Umoja huo wa Mataifa umesema makazi ya takriban watu 50,000 yaliathirika kutokana na mafuriko hayo na kwamba idadi hiyo ni ya eneo la magharibi mwa bwawa hilo la Arbaat kwasababu eneo la mashariki haliwezi kufikiwa. Bwawa hilo la Arbaat liko umbali wa kilomita 40 tu kaskazini mwa Port Sudan, eneo…