Mabeki wageuka tishio kutupia nyavuni BDL

WAKATI timu zote zikiwa zimecheza michezo 26 ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), kuna vita mpya imeonekana kuwapo kwa wachezaji wanne wanaocheza nafasi ya ulinzi namba 4 maarufu kama center wanaoonekana kuwa tishio katika wa kufunga. Wachezaji hao ni Haji Mbengu wa Dar City, Jimmy Brown (UDSM Outsiders), Fotius Ngaiza (Vijana)…

Read More

Viongozi wa WHO wakutana Kongo kujadili Mpox – DW – 27.08.2024

Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Gebreyesus alisema katika taarifa mjini Geneva Jumatatu, kuwa milipuko ya mpox katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mataifa jirani inaweza kudhibitiwa na kuzuwiwa kabisaa, lakini kufanya hivyo kunahitaji mpango mpana na ulioratibiwa wa hatua. Mpango wa Utayarifu na uitikiaji wa WHO uliozinduliwa Jumatatu, unatazamiwa kutekelezwa katika kipindi cha kuanzia…

Read More

Mjadala wanawake, wanaume, watoto kulazwa wodi moja Mwanza

Dodoma. Mbunge wa Ilemela (CCM), Angelina Mabula amesema katika Kituo cha Afya cha Sangabuye wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza kilipandishwa hadhi 1999 kutoka zahanati lakini kituo hicho hadi leo kina wodi moja tu ambayo hulazwa wanawake, wanaume na watoto. “Je ni lini Serikali itakamilisha miundombinu pale ikiwa ni pamoja na kujenga uzio,” amehoji Dk Mabula….

Read More

NEEC YAFUNDA MAKUNDI YA AKINAMAMA, VIJANA NA MAKUNDI MAALUM KUWA WABUNIFU KATIKA BIASHARA

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi {NEEC} kupitia programa ya Imarisha Uchumi na Mama {SAMIA)imeyataka makundia ya kinamama, vijana na makundi maalum Mkoani Kilimanjaro kuongeza ubunifu katika shughuli za biashara na ujasirimali ili kuweza biashara kubwa na kuwa maisha mazuri katika familia zao. Hayo yalisemwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji…

Read More

Serikali ya Taliban yakataa ukosoaji unaofanya na mashirika mbalimbali juu ya sheria ya maadili kwa wanawake

Mamlaka ya Taliban ya Afghanistan ilijibu Jumatatu (26 Agosti)  ukosoaji wa kimataifa wa sheria za maadili zilizoratibiwa hivi karibuni, ikisema kukataa sheria hiyo bila kuelewa sheria za Kiislamu kunaonyesha “kiburi”. ‘Wanawake lazima wajifunike kikamilifu na wasipaze sauti zao hadharani, miongoni mwa sheria zingine zinazozuia mienendo na tabia za wanawake, kulingana na sheria yenye vifungu 35…

Read More